Ccm ijibu hoja zake ila watanzania hawaaminiki.
Polepole alivyogeuka wakati anakula mema hadi nilishangaa.
Bashiru sasa hivi anapinga kile alichokuwa akiwafanyia wengine wakati wake.
Nape ameexperience pande zote mbili za shilingi lakini sasa hivi kasahau.
Watanzanja wakipata madaraka wanasahau mapema sana