Miaka hiyo asee ukimwi ulikua unaua sanaaaMaisha ya kota mrundikano, ni hatari sana.
Binafsi uzao wa baba umeteketea sana kwa hii kitu mika ya 90.na hatukupata kujua watoyo wao sababu ya umri kuwa mdogo, tunakuja kufahamu siku hizi baada ya kulinganisha dalili zao na kisha kuuliza.
Na wengi wao kwa hasira wanaambukiza wengine..kwa njia yoyote ile!Na sasa hv ndio balaa linazidi waathirika wengi hawatambuliki kirahisi
Na wengine wengi hatutumii kinga ukiiotea ndio kutaka kujifanya fundiNa wengi wao kwa hasira wanaambukiza wengine..kwa njia yoyote ile!
Umenikumbusha mbali sanaaa Kaka kipindi hicho Tabora hotel tulikua tunaenda kula tende...Tbr mkoa uliokosa fursana entertainment Kwa kipindi kirefu ndio kisa cha maambukizi hayo kuwa juu si maeneo hayo tu mliokuwepo ni mji mzima wengi walitangulia mbele ya haki enzi hizo ukizingatia dawa za kupunguza makali na mwamko wa watu Kwa ugonjwa ulikua mdogo sana
Umenikumbusha hayo yalikua moja ya sehemu za kupendeza mjini... Yaani kuanzia geti la chuo cha uhazili unashuka hadi hapo Tabora Hotel unateremsha sasa Station palivutia mno enzi hizo treni ipo kila siku!Railway ilikua na nguvu na kuheshimika kweli kweli!!