ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Sio barca wewehapo kwenye uzi wa njano ndio umeonyesha kiwango chako cha upumbavu, sichangii tena
Sio kweli 90%dunia nzima hawajaamini ndio maana hats wachezaji Wa liver wametoa machozi,sema ukweliumekuwa msemaji wa mashabiki wa liver tangu lini? binafsi niliamini barca pale anfield lazima afe.
Hapana sio Barcelona wewe ...SISI BARCELONA WENZAKO TUMEUNGA JUHUDI ZA JOGOOO NA MESSI SIO GOAT TENA NI MEEEEEEE
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .
(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?
Kupambana kwa njia ya Do or Die sio mchezo. Yani unakuwa umeshauvaa ushindi ili hali mazingira yote yanakataa. Ni kweli moyo unauma, ila somo nimepata.Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .
(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?
Mbona timu yake ya Taifa ya Argentina inapigwa katika mechi za kombe la Dunia? Au huyo huwa Mesi wa kuchongwa? Barca ni nzuri sababu ya combination ya wachezaji wengi wazuri bhana.
Kwel messi nmeeeeeSISI BARCELONA WENZAKO TUMEUNGA JUHUDI ZA JOGOOO NA MESSI SIO GOAT TENA NI MEEEEEEE