Barcelona watwaa Ubingwa La Liga

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Klabu ya Barcelona jana ilizawadiwa ubingwa wa La Liga na Espanyol waliowabana mbavu Real Madrid jana na kutoka nao sare ya 1-1. Kwa matokeo ya jana ya Real Madrid,Barcelona yaendelea kuongoza kwa alama 88 ikifuatiwa na Real Madrid yenye alama 81. Kimahesabu,Real Madrid haitaweza kufikia alama 88 za Barcelona hata kama itashinda mechi zake zote mbili zilizosalia kwakuwa wataishia alama 87. Barcelona bado ina mechi nne za mwisho. Leo Barcelona wataendelea kuupaka rangi ubingwa wao kwa kupambana na Atletico Madrid.Hongera kwa FC Barcelona kwa kuwa Mabingwa wapya wa La Liga!
 
Mkuu isotope,ubingwa ni ubingwa tu.Si afadhali wao walioambulia kikombe kimoja msimu huu? Wengi tu wametoka patupu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…