Katika juhudi za mwisho mwisho kabisa za kuelekea kuchukua ndo La liga jana tena barca kama kawaida iliifunga zaragoza 3-0!!magoli hayo ambayo yalifungwa na Tello(2) na Thiago(1) .Mechi hiyo ambaye ilichezwa bila uwepo wa Lionel Messi,Andres Iniesta,sergio,Pique na Pedro. Ilipeleka barca nafasi nyingine ya kujikita kileleni mwa ligi hiyo kwa point 81 huku tukimuacha mpinzani wetu kwa tofauti ya point 13.
Hapa tunachotaka ni ushindi wa kikombe mapemaa..."Maneno hayo yalinukuliwa na Thiago alcantara" ambaye alipachika goli moja katika mechi hiyo.
Hii ina maana gani kwa wale ambao wanachonga chonga Barca inaweza pata ushindi bila hata Messi na messi ni mchezaji wetu shout up yo mouth!!hii ndo barca the best and invicible in da world
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums