Barcelona fc

sirma

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
33
Reaction score
3
Hivi vipigo anavyokutanavo basa ndo kuashiria mwisho wao au ni upepo 2 mambo yatatulia?
 
Nani alikuambia Barca hatufungwi? Mmezidisha Usimba/Uyanga tuu.
 
barca kufungwa na ac milan na real madrid sio mwisho wa barca kwani man u toka aanze ligi kuu 2012-2013 haja fungwa au real yeye kwenye la liga hajafungwa na jee ndio imekua mwisho acheni kuleta vigenzo visivyo na msingi
 
barca 68 pts
at.madrid 56 pts
r.madrid 55 pts je tutasema real real imeisha .
 
ni mprira tu kudunda!!ninadhani pia huenda likawa tatizo la kimfumo,tito yuko mapumzikoni kwa hiyo huenda kubadili mfumo wa ufundishaji huenda kukawa kumewaathiri kiduchu ila barc bado ni barc!!
 
barca kufungwa na ac milan na real madrid sio mwisho wa barca kwani man u toka aanze ligi kuu 2012-2013 haja fungwa au real yeye kwenye la liga hajafungwa na jee ndio imekua mwisho acheni kuleta vigenzo visivyo na msingi

Sio mwisho wa barc lakini timu imekosa mwelekeo kwa kukosa coach bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…