Bank gani nzuri ya kufungua akaunti kwa ajili ya mwanafunzi

Fungua NMB mkuu.
1: inapatikana kila sehemu hadi wilaya za mbali mbali.
2:kama ni student account haina makato yoyote yaani ukiweka elf 20 leo baada ya miezi 6 utakuta elfu 20 tofauti na bank nyingine
3: rahisi sana kufungua

NB: masomo mema wakusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kwaajili ya kupokelea mkopo ni vyema ukajua kwanza chuo unachoenda wanatumia bank gani hii itakuwa rahisi kwenye suala la kuwekewa fedha, mfano kama chuo kinatumia crdb na ww fungua crdb, benki tofauti na chuo hula Mara nying wanachelewe kuwekewa mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na shukuru sana kaka....na vipi kuhusu interest rate wanatoa aslimia ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nashukuru sana kaka...na vipi kuhusu interest rate wanatoa asilimia ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…