Chocolate Senior Member Joined Feb 5, 2009 Posts 117 Reaction score 48 May 20, 2013 #1 Ninahitaji banda la biashara (Vinywaji na Chakula) katika viwanja vya maonyesho vya Sabasaba; Je nifuate utaratibu upi niweze kupata? na kama kuna anayejua gharama zake nitashukuru pia.
Ninahitaji banda la biashara (Vinywaji na Chakula) katika viwanja vya maonyesho vya Sabasaba; Je nifuate utaratibu upi niweze kupata? na kama kuna anayejua gharama zake nitashukuru pia.
KRISTIAN P JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 359 Reaction score 69 May 20, 2013 #2 Subiri waje wanaojua he he
Kangapori Member Joined Aug 9, 2015 Posts 10 Reaction score 13 Mar 25, 2016 #3 Application form pamoja na maelezo nimeambatanisha. File lipo katika mfumo wa PDF, hivyo inabidi simu au computer yako iwe na program ya Adobe. Attachments Application_Form_Kiswahili_2016.pdf Application_Form_Kiswahili_2016.pdf 273.4 KB · Views: 61
Application form pamoja na maelezo nimeambatanisha. File lipo katika mfumo wa PDF, hivyo inabidi simu au computer yako iwe na program ya Adobe.