Faida za matumizi ya bamia (Benefits of eating lady finger or okra)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Chimbuko la Bamia ni Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote.

2793964600_7300b00943.jpg

1. Michirizi na utonvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika katika mwili kutoka kwenye utumbo mkubwa.

2. Utelezi wa bamia huchuja uchafu unaoingia katika Kolestorali (cholesterol) na asidi ya Nyongo unaoingia kutoka kwenye Ini ambao usipo dhibitiwa huenda ikasababisha matatizo ya ki-afya.

3. Bamia husaidia kulainisha Utumbo mkubwa (large intestines) kutokana na kazi yake ya kulainisha choo.

4. Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi.

Magonjwa Maalum

5. Asidi ya Kujirudia rudia na Kufunga Choo

Tafuna vipande sita vya Bamia bila kutumia dawa nyigine kilasiku na Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga choo kutakwisha, inashusha Sukari kutoka 135 hadi 98

6. Pumu

Bamia ina Vitamin C ambayo inawafana watoto wanaougua ugonjwa wa pumu kupumua vizuri wanapoitumia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa na miligramu 13 ya vitamin C.

7. Kidonda Ndugu (Cancer)

Bamia husaidia kuweka Utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezakano wakuugua ugonjwa huu wa Kansa hasa kwenye utumbo mkubwa.

8. Mishipa midogo ya Damu

Kula Bamia kwa wingi kunasaidia kuimarisha Mishipa midogo ya Damu.

9. Cataracts

Nusu kikombe cha Bamia iliyopikwa inakua na kiwango cha 460 IU ya vitamin A.ambayo inapunguza uwezakano wa kupata ugonjwa wa mtoto wa jicho (cataracts).

10. Usongo (Depression) na Kukosa Nguvu

Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaojisikia dhaifu, Kuchoka na wanao athirika na Usongo (depression).


Tahadhari kwa Wanaume musitumie hii mboga inapunguza nguvu za kiume........
 
CAUTION: bamia kama zilivyo spinach (swiss chard) zina kiwango kikubwa cha oxalates ambapo ikiunganika pamoja na calcium inatengeneza calcium oxalates crystals/stones kwenye kidneys.
 
Hahahaa... MziziMkavu leo umenikamata. Kabla hata sijasoma thread yako nikastuka nikifikiri umekosea jukwaa. Nshatafsiri vingiiiiine. Hizi lugha zetu hizi.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe inatakiwa kuliwa na wanawake peke yao. Mwisho wanaume watajikuta hawana kitu cha kula kwa sababu ya kuogopa kupungukiwa nguvu za kiume.
Mkuu mhondo Bamia inafaa sana kwa wanawake kwa ajili ya kufanya makalio yao ya nyuma ( Taarabu) kuregea na kutingishika wakiwa wanatembea ili upate kuwatamani sasa wewe unataka kutumia ili makalio yako ya nyuma yaregee kwanini? na ukose pia nguvu za kiume kwanini? Bamia kwa mwanamme halifai kuliwa hata kidogo mkuu linakufanya Nguvu zako za kiume zipunguwe. Kuwa muangalifu sana kwa kuto kutumia Bamia.

Hahahaa... MziziMkavu leo umenikamata. Kabla hata sijasoma thread yako nikastuka nikifikiri umekosea jukwaa. Nshatafsiri vingiiiiine. Hizi lugha zetu hizi.
Usijali babu Asprin
 
wakuu habarini za leo!
kwa madaktari, na wataalam husika: nauliza eti bamia na nyanya chungu zinasaidia kuleta ule ute mwepesi unaosababisha kupatikana kwa ujauzito?naomba maelekezo ya kitaalam katika suala hili, au kama kuna vyakula vinyine ambavyo vinaweza kusaidia kupatikana kwa ute ule mwepesi (wa wakati wa ovulation) ili kusaidia kushika ujauzito. Hilo la bamia na nyanya chungu nimelisikia tu mtaani, sasa nikaona ni vema niulize pia kwa wataalam.
Ni hilo tu ndugu zangu naomba msaada wa kitaalam.
Asanteni sana!
 
wakuu habarini za leo!
kwa madaktari, na wataalam husika: nauliza eti bamia na nyanya chungu zinasaidia kuleta ule ute mwepesi unaosababisha kupatikana kwa ujauzito?naomba maelekezo ya kitaalam katika suala hili, au kama kuna vyakula vinyine ambavyo vinaweza kusaidia kupatikana kwa ute ule mwepesi (wa wakati wa ovulation) ili kusaidia kushika ujauzito. Hilo la bamia na nyanya chungu nimelisikia tu mtaani, sasa nikaona ni vema niulize pia kwa wataalam.
Ni hilo tu ndugu zangu naomba msaada wa kitaalam.
Asanteni sana!


kaka japo mimi si mtaalamu sana lkn hujaeleweka kwa upande wangu uliza swali moja kwa moja ueleweke wewe unataka nini :-Ujauzito au :-ute mwepesi?????




nyooosha maelezo uleweke mkuu!
 
hivi kuna vyakula vinavyo saidia kupata ujauzo kama ilivyo kwa nguvu za kiume?. sijawahi sikia. muhimu nenda hosptali ukaonane na doctor. achana na mambo ya mitaani. mtegemee Mungu. mia
 
10 Health Benefits of Eating Lady Finger or Okra






1660304_10153764472815198_1564131464_n.jpg



Lady Finger earned its curious name because the edible part of the plant is long and tapered, much like the fingers of an elegant lady. Lady Finger is a wonderful source of important vitamins such asvitamins C, A, E, K, and B complex, as well as iron,

calcium, potassium, sodium, copper, magnesium, selenium, manganese and zinc. It is also low in calories and high in dietary fiber.Okra provides numerous health benefits,

including the weight loss, reduces cholesterol, diabetes,glowing skin, strengthens the bones, protect against colon cancer, lung cancer, cavities in the teethand many

more.100 grams of raw lady finger contains only 30 calories, Carbohydrates- 7.03 g, Dietary Fiber- 3.2 gm, Folates- 88 µg, Vitamin C- 21.1 mg, Vitamin A- 375 IU, Vitamin

E- 0.36 mg, Vitamin K- 53 µg, Potassium- 303 mg, Calcium- 81 mg, Magnesium- 57 mg, Phosphorus- 63 mg, Iron- 0.80 mg, Manganese- 0.990 mg, Zinc- 0.60 mg and

Selenium- 0.7 µg.

Health Benefits
of Lady Finger or Okra Vegetable

1) Colon Cancer: (Kansa ya Matumbo makubwa) -By cleaning out the intestinal tract, Lady Finger is able to improve colon health by allowing the organ to work at a higher rate of efficiency and reduce the risk of colon cancer.

02) Diabetes: -(Ugonjwa wa kisukari) The presence of Eugenol helps fight against diabetes. The fiber also helps stabilize blood sugar level by delaying sugar absorption from the intestines.

03) Constipation: -(Kutopata choo laini kufunga choo) Okra or lady finger is one of the best vegetable sources of dietary fiber essential for the digestive system. Dietary fibers in okra help prevent and relieve constipation problem. The soluble fiber in okra absorbs water and adds bulk to the stool thus preventing constipation.

04) Prevents Anemia: -(Upungufu wa Damu)The iron content of lady finger forms hemoglobin in the blood and prevents anemia. Vitamin K helps in blood coagulation.

05) Weight Loss: -(Kupunguwa Uzito) The dietary fibers contained in this lady finger vegetable are best for people who are in their weight loss diet programs. Ladies finger contains no calories, hence are great for weight loss.

06) Heart Disease: -(Maradhi ya Moyo) Soluble fiber in lady finger or okra helps to lower serum cholesterol and reducing the risk of heart disease. Eating okra is the effective control of the body's high cholesterol level. Okra is also high in pectin that helps in lowering high blood cholesterol by altering the production of bile in the intestines.

07) Hair Problems: -(Matatizo ya Nywele) Okra or lady finger can also help bring your hair back to its original state, free from dandruffs. Forbouncy hair, boil water with horizontally cut okra, strain on cooling, squeeze half a lemon and use as a hair rinse. Experts say that it can even rid of lice also.

08) Improve Immune System: -(Kinga ya Mwili kwa ajili baridi na kifuwa))The high Vitamin C content in Ladies finger helps fight cold and cough by improving healthy immune system. The Vitamin C and many essential minerals like magnesium, manganese, calcium and iron in Lady Finger fights against harmful free radicals and promotes healthy immune system.

09) Improve Eyesight: -( kutibu macho)Vitamin A and beta carotene found in lady finger are essential nutrients for maintaining good eyesight. In addition, these essential nutrients also help prevents eye related diseases such as cataracts. The Vitamin A promotes health of the eyes and protects against age related eye disorders.

10) Fetus Development: -(Ukuaji wa mtoto tumboni kwa mwanamke mwenye mimba) The high amount of folate contained in the lady finger or okra is beneficial for the fetus during pregnancy. Folate is an essential nutrient which improves the development of the fetus brain. The high amount of folic acid in lady finger or okra plays an important role in the neural tube formation of the fetus throughout fourth to twelve weeks of pregnancy.

Here I tried to include as much as health benefits of lady finger which I know. If you know other than this, please share by comment. It will help a lot other readers too.

MATUMIZI YA BAMIA KAMA DAWA FANYA HIVI:

Bamia 2 kata vichwa vyake tia katika glasi ya maji ya kunywa weka usiku funika vizuri

asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu ondowa hizo Bamia mbili ndani ya glasi kunywa

maji yake fanya hivyo kwa muda wa siku 14 au siku 21 au Mwezi 1 inategemea na maradhi yako jinsi yalivyo.
 
Mkuu ahsante sana ila hebu nieleweshe kuhusu hivi vichwa vya bamia nikishakutoa asubuhi nakunywa maji yake je nivitupe vile vichwa au nivitumie vile vile kuweka siku ya pili?
 
Mkuu ahsante sana ila hebu nieleweshe kuhusu hivi vichwa vya bamia nikishakutoa asubuhi nakunywa maji yake je nivitupe vile vichwa au nivitumie vile vile kuweka siku ya pili?
Unakata kichwa kwa juu kisha hayo mabamia 2 unayatia ndani ya glasi ya maji unafunika vizuri asubuhi kabla ya kula kitu unakunywa hayo maji

kisha hayo mabamia 2 na vichwa vyake unatupa .Kesho yake unatumia Mabamia mengine 2 mapya unafanya hivyo kila

siku kwa muda wa siku 14 au siku 21 au mwezi mmoja inategemea unaumwa ugonjwa gani.
 
1660304_10153764472815198_1564131464_n.jpg


KWA WALE WENYE UGONJWA WA KISUKARI MTUMIE BAMIA ITAWASAIDIA

KUWATIBU HUO UGONJWA WA KISUKARI YAANI DIABETES. fanya hıvı: Chukuwa


Bamia 2 kata vichwa vyake tia katika glasi ya maji ya kunywa weka usiku funika vizuri

asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu ondowa hizo Bamia mbili ndani ya glasi kunywa

maji yake fanya hivyo kwa muda wa siku 14 au mwezi 1Sukari iliyozidi ndani ya mwilini mwako

itaondoka kabisa fanya kisha uje unipe feedback. Ninaombeni Dua zenu.

Dear Friends,

I hope this will be a useful information for everyone.
Remedy: Lady Finger for Diabetes

Please note that another name for Lady Finger (Bhindi ) is " OKRA ".


Last month in one of TV program I learnt of a treatment of Sugar
(Diabetes). Since I am diabetic, I tried it and it was very useful and my
Sugar is in control now. In fact I have already reduced my medicine.

Take two pieces of Lady Finger (Bhindi) and remove/cut both ends of each
piece. Also put a small cut in the middle and put these two pieces in
glass of water. Cover the glass and keep it at room temperature during
night. Early morning, before breakfast simply remove two pieces of lady
finger (bhindi) from the glass and drink that water.

Keep doing it on daily basis.
180px-Bucket_of_raw_okra_pods.jpg

Within two weeks, you will see remarkable results in reduction of your
SUGAR.

My sister has got rid of her diabetes. She was on Insulin for a few
years, but after taking the lady fingers every morning for a few months,
she has stopped Insulin but continues to take the lady fingers every
day. But she chops the lady fingers into fine pieces in the night, adds
the water and drinks it all up the next morning. Please. try it as it
will not do you any harm even if it does not do much good to you, but U
have to keep taking it for a few months before U see results, as most
cases might be chronic.

Other Benefits of Lady Finger.
Description: Lady's finger, is a flowering plant in the cotton and cocoa family and is valued for its edible green fruits. Its scientific name is Abelmoschus esculentus. The species is an annual or perennial, growing to 2 m tall. The leaves are 10–20 cm long and broad, palmately lobed with 5–7 lobes. The flowers are 4–8 cm diameter. The fruit is a capsule up to 18 cm long, containing numerous seeds. The plant is valued both as a vegetable and herbal medicine for the treatment of many gynecological diseases.
.
control diabetes with lady finger and water

Conditions Treated: Chronic Illness
Specific Conditions Treated: Diabetes
Ingredients Used: Lady finger
Description: In diabetes there is increase of sugar in blood and urine. this treatment is helpful for those who are allergic to bitter things like neem , bitter gourd,etc.Please continue with any medication being taken for diabetes which should be reduced or discontinued only with doctors advice. as this will reduce sugar those on constant medication should measure sugar level and take the other medicines in amounts asper their doctors advice.


Directions For Use: wash and slit a lady finger from bottom towards the stalk. do not make into two pieces , let it be joined at the top. Put the slitted lady finger in a glass of water in the evening . In the morning mash the lady finger in the water by your hand , strain and drink the water first thing in the morning. no other food or drink for 30 minutes. to be repeated daily for keeping diabetes under controll.
Side Effects: No side effects but people having arthritis etc who are barred from eating lady finger should not try this.In case medicines or insulin are being taken for diabetes , please get sugar checked regularly to avoid low sugar on taking medicines.
Expected Results: in three days sugar level should start coming down
Expected Results Within: 3 days

Lady's finger Reduces blood sugar levels
Treating Diabetes with Lady's finger.
Treating Cysts with Lady Finger
Conditions Treated: Skin and Hair
Specific Conditions Treated: Cysts
Ingredients Used: Lady finger
Description: A cyst occurred on the surface of an organ or in the empty spaces between muscle and skin tissues. Most cysts are harmless and self-contained, filled with air, infected fluids or semi-solid substances .A cyst is precipitated by a defect during fetal development, an infection. Lady finger is very effective in resolving the symptoms of cysts.
Directions For Use: Include 150gm of lady finger in your diet daily. The symptoms of cysts are resolved in a week.
Not To Use With: No precautions need to be followed while taking this treatment.
Side Effects: None are seen
Expected Results: The symptoms are relieved within a week
Expected Results Within: 1 week

If the patient is suffering from anemia, or is very much underweight, the diet may consist of fruits and milk. The patient may then gradually embark upon a well-balanced diet consisting of three basic food groups namely
(i) seeds, nuts and grains,
(ii) fruits and
(iii) vegetables.

Thanks & Regards,
Sapna
 
Unakata kichwa kwa juu kisha hayo mabamia 2 unayatia ndani ya glasi ya maji unafunika vizuri asubuhi kabla ya kula kitu unakunywa hayo maji

kisha hayo mabamia 2 na vichwa vyake unatupa .Kesho yake unatumia Mabamia mengine 2 mapya unafanya hivyo kila

siku kwa muda wa siku 14 au siku 21 au mwezi mmoja inategemea unaumwa ugonjwa gani.

Kichwa cha bamia ni kule kwenye ncha kama sindano? Au ni wapi? Ufafanuz mh. Mzizimkavu, nisije kukosea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom