Wadau kwemaaaa
Kuna mahali nimetulia muda huu napata zangu Serengeti lager na Kuna live band zinapigwa bakulutu hapa nimekumbuka mbali Sana na ninasuuzika vilivyo
Sheriee usilie mwanaa mamaa oooh najua wanipenda nimaruu mamaaaeh hata Mimi Sina Raha kuwa mbali naweeeeh shida na tabu zinafanya watu kutenganaaaaeeeh
Eeehh mwana mamaaaeee heee heeeee heeee
Mwana mamaaaeeeh
Safari niliyo nayo ni ndefuuu Sana eh eheeeee sijui mwaka gani nitarudii mama eh eheeee hata Mimi sina Raha kuwa mbali naweee eheee lakini ndiyo Hali ya dunia ni vigumu kuepukaeeeheee