Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
Mpemba anaendelea ku take over.
METL nae amewekeza vizuri kwenye textile nje wako mpaka Ethiopia! MMI Steel kwenye steel production na Sumaria group kwenye plastichivi kuna mwana East Africa aliyewekeza zaidi kibiashara ndani ya jumuiya na nje ya jumuiya kama said bakhresa?.
nomasana na MK254 wanapiga njuru na investment ya Faida ya US$ 6 mln!Safi sana Bakhresa, sasa awapelekee na vingamuzi vya Azam TV pia, akimaliza hapo kwa Bob kazi ya kuingia kwa Madiba land itakua rahizi zaidi....:teeth:
Majirani wetu waKaskazi vipi...Nomasana upo?:A S-rap: