Bakery machines mbalimbali ulizia unachohitaji

January songo

Member
Joined
May 26, 2017
Posts
96
Reaction score
100
Tunazo bakery machines kuanzia tray moja mpaka tray nne za umeme na za gase
Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery
Contact 0714417739 0763251378
 
Nadhani ingekuwa vizuri ukalist aina ya hizo oven na bei zake. Pia hebu nipe ufafanuzi kuhusu hiyo mashine ya chapati. Inafanyaje hizo chapati?
Hio ni ya kuchomea tu baada ya kuzisukuma vizuri unatupia kwenye hii mashine chapati sita kwa pamoja kama unavyoweka kwenye flip pan [emoji505]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…