mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Ahaaahaaaahaaahwe unanjaa wewe nenda kaole kwanza ukapige wali afu ndio uandike upya.
simjuiMwl.Hemed hajambo?@mansakankanmusa
hatari sana hiyo ila omba usikutane na kitungwa njianiAhaaahaaaahaaah
Umenkmbusha kaole kwa mama jamii.
[emoji1] [emoji2] hv kitungwa bado yupo bagamoyo duhhatari sana hiyo ila omba usikutane na kitungwa njiani
Sasa huku JF ndo shule?Nina njaa ya kusoma
sijui man .. nilipita pale kitambo[emoji1] [emoji2] hv kitungwa bado yupo bagamoyo duh