Bado natafuta mwenza

Dont go away

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
501
Reaction score
208
Jamani bado sijachoka kutafuta mwenza mwenzangu wa maisha, Walimu wa kike kama mmo humu karibuni sana, na hata kama si mwalimu nawakaribisha sana, ila awe mwembamba na mrefu wastani, mwelewa, na anayependa maendeleo,

Kipindi cha kufahamiana itakua miezi 5 kabla ya kuanza mchakato wa kuoana.

Aliye tyr ni ---PM.
 
kijana nakushauri nenda ud next week tar 15 hao waalimu watakua wanagraduate huenda ukabahatisha kule!!
Kila la kheri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…