Malica husna
Member
- Jun 30, 2018
- 31
- 20
Ndo ww huyo kwenye avatarNaitwa husna nina umri wa miaka 21 elimu yangu ni certificate ya kidato cha nne nina ishi dar es salaam kitunda
Wakuu natafuta kazi nina uwezo wa kuuza duka na kusimamia biashara Ipasavyo
Ni muaaminifu pia kama una kazi nyingine tofauti labda waweza nielekeza naweza ifanya kwa uwezo mkubwa
Natumai tutasaidiana wakuu
Asanteni
Naona unapambana kupata referees chief, pole sana hao wahuni mwisho wa Siku hupati ata Mia.Viewing payed advertising sites gomoney.club - Welcome!. njooo huk hamna haja y kutafta kazi njoo upumzike hum af kazi utafte mdg mdg.
Online money ni rahic ht kam hujafik form 2 km unawez ku2mia internet kdg 2 jarb uone wanalipa vzr.
Yes ndio mmNdo ww huyo kwenye avatar
Lolπππ mm mshirazi upande mziguaWw ni made in wapi? Yaani kabila gani
Sawa mkuuInjoo PM tuyajenge mkuu
Ntashuru mkuuOk ok utapata kazi soon, ngoja niongee na wadau
Nalijua hilo mkuu ila chuo huwezi kwenda tu kuna kitu kinaitwa money talk.so You just can't go to college without moneynenda chuo tu hiyo cyo Elihu kwa sasa!
Lol[emoji23][emoji23][emoji23] mm mshirazi upande mzigua
πππKazi umepata!
maybe brother, but let's wait coz soon ntadeposit af ntakujuza kam ni kwel au sio.Naona unapambana kupata referees chief, pole sana hao wahuni mwisho wa Siku hupati ata Mia.
I know it's simple to play it but not to win it. Hizo vitu niliangaika nazo Siku tatu mfululizo. Hakuna pesa nyepesi kiasi hiko hapa duniani. But endelea kujaribu.maybe brother, but let's wait coz soon ntadeposit af ntakujuza kam ni kwel au sio.
lakini waweza jaribu kama kuna time utakuw umepumzik. Wanaonekana kuwa wa kwel coz kuna washkaj wa3 washapat hela toka katik website hii.
Viewing payed advertising sites lusmoney.club - Welcome!
u can try its very simple