Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,292
- 2,613
Bado haujaeleweka hata wewe, laptop zina design tofautitofauti za milango ya CD labda DesektopWe jamaa nimekusoma.
Kwa ambao hamjamuelewa; ana maana kwamba teknolojia kwa sasa imekua sana na matumizi ya CD [emoji331] + CD drive ni nadra au tuseme yana-phase out. Hivyo wadau tayari wamebuni kutumia ile space ya CD kwenye laptop zetu za zamani kuwekea external Hard Disk, na hivyo kuongezea uwezo wa laptop kuhifadhi data.
Tuko machinga complex ukifikia tupigie tuta kukuelekeza na kukufuataOfisi zenu zipo wapi mkuu?
Ndo maan ukawambiwa karibu ofisin [emoji3] akuna utapeli iyo nj maendeleo ya teknolojia kakaBila picha na maelezo yaliyoshiba ni utapeli tuu kama wa tuma hela kwenye namba hii... labda sifahamu kuwa Rom driver zina shape tofauti tofauti katika laptop.. au una meaanisha kwenye Desktop only... napo sawa inawekwaje sasa?
Shukran mkuuTuko machinga complex ukifikia tupigie tuta kukuelekeza na kukufuata
Karibu Sana tupigie kwenye izo namba mkuu tutakusaidiaNipo mkoani, je unaweza kupakilia muvi kabisa ukanitumia yenye 500Gb?? If yes basi niambie bei Tufanye biashara.. Lakini pia kama unauza Externals itapendeza zaid
Ndan Kuna mfumo wa kuweka CD kwaiyo Karibu ofisin tuaifungua na kukuwekea bila shidaNingekutafuta ila.. Laptops natumia kwa miaka sasa za topu renji hazina pa kuweka CD.. bali ni kununua kiziada..