Habari wakuu, mdogo wangu amesoma B.A in Public Relations and advertising pale UDSM, kasugua Gaga mtaani miaka miwili Sasa ameamua kusoma diploma ya Clinical medicine chuo flani, Sasa je Kuna uwezekano akapunguza msoto kidogo na kupata pa kujishikiza??