Tofauti ni kwamba, wa degree anafundishwa kazi lakini katika manejiment na usikamizi zaidi. pia coverage ya kisomo chake ni Wide sana ili imsaidie kufanya maamuzi na planning. huyu akiingia kwenye ajira anakua kwenye supervision level,
Huyu wa Diploma anakuwa kwenye Utendaji zaidi ( Operational level) na anasubiri maelekezo toka kwa wa degree. huyu anajifunza kazi ditect, na manual work chuoni huwa hajifunzi mambo mengi.
huyu pia anaweza simamia watu wa Certificate na wa Veta hata vibarua wa kutumia nguvu.