Midavudavu
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 287
- 59
Ma bar maid kazi kwelikweli. Chumba changu dirisha langu linapakana na chumba chao. Wakirudi usiku huwa nasikia "pwa pwa pwa, fyuuuu, mbwiiii, bwiii, psiii, fyumu, buuu, ndiii kama hii haitoshi nasikiaga pia nyauu. Wenye bar waongezeeni mshahara hawa ndugu zetu wanachoka sana.
Siku nyingine usiingie JF ukiwa majani.
Pombe zikikuisha rudi hapa usome title na ulicho post.
Kama nilikuona milembe juzi vile!
LOL! Ushauri thabit huo