Kweli aiseMtoto anahitaji upendo na anapoonywa aonywe kwa upendo... Yawezekana baba ana nia njema ila sasa aina ya adhabu ndiyo shida... Wazazi ongeeni na watoto wenu tena kwa upole na upendo mtajua mengi kuusu watoto wenu... Pga vta ukatili wa watoto kwa kizazi cha kesho...
Kweli aiseeUgumu wa maisha ndio unapelekea yote haya. Watu wanatafuta sehemu za kumalizia hasira na frustration zao.
We roboti upo?Huo ukatili ni wa kupingwa
Baba naye alizidi jamani.
SijakuelewaWe roboti upo?
INDEED!!!!!!!!Ugumu wa maisha ndio unapelekea yote haya. Watu wanatafuta sehemu za kumalizia hasira na frustration zao.