R REgy 2pa Member Joined Aug 5, 2016 Posts 38 Reaction score 13 Sep 27, 2016 #1 Habari wakuu, Naomba kuuliza, vipi hiyo course ipo 'tafu' sana? Ningependa kupata ushauri kidogo kwa wanaoifahamu.
Habari wakuu, Naomba kuuliza, vipi hiyo course ipo 'tafu' sana? Ningependa kupata ushauri kidogo kwa wanaoifahamu.
LTN USU WA MADOSO JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,193 Reaction score 859 Sep 27, 2016 #2 kasome
PATIENCE PB Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 163 Reaction score 37 Dec 3, 2016 #3 Ah ha haaaaaa 2per my classmate .....
Daz denny JF-Expert Member Joined Nov 19, 2016 Posts 390 Reaction score 378 Dec 3, 2016 #4 Hii coz nzuri mkuu ila haujaweka waz uzuri gan unauliza?kama kuhusu ajira hilo sio coz hii
Daz denny JF-Expert Member Joined Nov 19, 2016 Posts 390 Reaction score 378 Dec 3, 2016 #5 Daz denny said: Hii coz nzuri mkuu ila haujaweka waz uzuri gan unauliza?kama kuhusu ajira hilo sio coz hii Click to expand... Sio coz hii zote now days issues
Daz denny said: Hii coz nzuri mkuu ila haujaweka waz uzuri gan unauliza?kama kuhusu ajira hilo sio coz hii Click to expand... Sio coz hii zote now days issues
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Dec 3, 2016 #6 Ajira hata ma Dr hakuna
Daz denny JF-Expert Member Joined Nov 19, 2016 Posts 390 Reaction score 378 Dec 3, 2016 #7 Slim5 said: Ajira hata ma Dr hakuna Click to expand... Kwel mkuu cha msingi inatakiwa mtu afanye radical choice other wise ucheze kama kamali!
Slim5 said: Ajira hata ma Dr hakuna Click to expand... Kwel mkuu cha msingi inatakiwa mtu afanye radical choice other wise ucheze kama kamali!
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,796 Reaction score 6,444 Dec 3, 2016 #8 Slim5 said: Ajira hata ma Dr hakuna Click to expand... Umewahi sikia dokta humu (MD) analia anatafuta kazi? Kazi hakuna serikalini ila huku vingi tu
Slim5 said: Ajira hata ma Dr hakuna Click to expand... Umewahi sikia dokta humu (MD) analia anatafuta kazi? Kazi hakuna serikalini ila huku vingi tu
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Dec 4, 2016 #9 utafungua tuition center ya uchumi hapo hakuna ajira
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Dec 4, 2016 #10 Slim5 said: Ajira hata ma Dr hakuna Click to expand... haujielewi mi rafiki angu kaacha kazi mshahara Mdogo na amepata sehemu nyingne huyo kamaliza diploma tu
Slim5 said: Ajira hata ma Dr hakuna Click to expand... haujielewi mi rafiki angu kaacha kazi mshahara Mdogo na amepata sehemu nyingne huyo kamaliza diploma tu