Gariexpress
Member
- Feb 23, 2015
- 44
- 11
Used japan ndo mpya kibongo Kwa maelezo zaidi yametumika japan tu (used overseas only). Yameagizwa kutoka japan as stated above. Shukrani.Asante kwa taarifa mkuu, lakini.hebu fafanua haya magari ni mapya au used kutoka Japan?
Bei rahisi kulinganisha na yadi yoyote inayoagiza magari kutoka nje kwa hapa Tanzania sababu profit Margin yetu ni ndogo kuliko yadi zingne. KaribuHizo ni bei rahisi ukilinganisha na wapi?
Used japan ndo mpya kibongo Kwa maelezo zaidi yametumika japan tu (used overseas only). Yameagizwa kutoka japan as stated above. Shukrani.
Thanks
Gariexpress.com
support
Gari express,
Hembu niambie kama mnakopesha na kulipa kwa awamu.Nawaachia kadi ya gari kisha gari nakuwa nayo .
Yaani nalipa Cash nusu ya bei ya gari
-Pick up Town ace or Lite Ace.Tani moja
-Suzuki Carry
Rejesho la mwezi sio 600,000
Sio fixed,maana kuna mishemishe nyingine inawezekana hata miezi mitatu isifike deni likaisha.
Ila gaurantee ni 600,000 kwa mwezi hadi kwisha deni.
Kwa mtu binafsi,maana wengine hatujaajiriwa serikali.
Ziada:-Kama kuna mwenye ku share hili anaweza kujazia wapi wanatoa kwa mfumo huo.
Habari!
Kwa wanaohitaji magari yaliyoagizwa kutoka nje (JAPAN) kwa bei rahisi zaidi. Tunayo katika yadi yetu dar es salaam, Sinza. Kwa wanunuzi au wanohitaji magari mnakaribishwa. Unaweza kuja kututembelea kwenye yadi yetu au tembelea tovuti yetu - www.gariexpress.com
MAGARI BEST OFFERS:
1. PASSO - 7.5MIL
2. BREVIS - 10.5MIL
3. RACTIS - 11.5MIL
4. PORTE- 8.5MIL
5. MARK X - 16MIL
6. CROWN - 22MIL
NOTE: Bei imejumuisha gharama zote za registration na kila kitu kasoro insurance ambayo ni chaguo lako mwenyew.
CONTACT (WHATSAPP AVAILABLE)
1. 0765072175
2. 0786 98 72 48
Thanks
Gariexpress.com
Support
Bahati mbaya Swift hamna kwa sasa zimeisha. Karibu sana.How swift goes?
Kwa sasa hatufanyi hivo tunauza kwa bei nzima sio kukopesha sababu magari huwa hayakai sana huwa yanauzwa kwa haraka sababu ya bei nafuu na wateja ni wengi. Karibu sanaNami nadandia hili nahitaji sana hii
Gari express,
Hembu niambie kama mnakopesha na kulipa kwa awamu.Nawaachia kadi ya gari kisha gari nakuwa nayo .
Yaani nalipa Cash nusu ya bei ya gari
-Pick up Town ace or Lite Ace.Tani moja
-Suzuki Carry
Rejesho la mwezi sio 600,000
Sio fixed,maana kuna mishemishe nyingine inawezekana hata miezi mitatu isifike deni likaisha.
Ila gaurantee ni 600,000 kwa mwezi hadi kwisha deni.
Kwa mtu binafsi,maana wengine hatujaajiriwa serikali.
Ziada:-Kama kuna mwenye ku share hili anaweza kujazia wapi wanatoa kwa mfumo huo.
Hamna magari yote ni imported from Japan na hayajatumika Tanzania na hayana plate number au registered mtu akinunua ndo tunafanya registration (Bei ina jumuisha cost zote za registrations). Karibu sanaUsed in Bongo then decorated as they are coming direct from Japan
Camry Hamna kwa sasa. Karibu sanaCamry 2006 model black color inapatikana kwa ngapi ???
IST - 10.5Mil . Karibu sanaIst bei gani?