Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

Redio maria huwezi skia mambo ya ramadhani kila moja abebe msalaba wake
We mjinga sana, nguo ndio aina ya watanzania wasiojua kujenga hoja. Radio Maria ni specific kwa mambo ya kidini na imesajiliwa hivyo, tofauti na Azam
 
Ni kweli Azam TV na SSB kuna udini mwingi kwenye ajira
 
Mbona zamani itv walikua wanaonesha mechi
 
Azam na Yanga zimekuwa kama miskiti, waislamu ni malimbukeni sana.
 
Hayo mambo hayapo Dstv azam tv ndo mdudu gani nisije pofuka macho bure et soka live uku goli likisikika redioni kwenye tv kama sekunde 30 hivi ndo na wenyewe goli linaingia
Safii kabisa mkuu, kama kitu hufarahishwi nacho inatakiwa ukipige chini, wewe umefanya jambo la maana na nakupongeza sio kama wazushi wengine unaweza sema wanachapwa viboko kununua hayo madishi ya Azam.
 
 
Ivi waafrica tuna matatiz gan sisi ? Yaani umpangie kitu cha kufanya kwa jambo ambalo halikuhusu ?

Anzisha tv yako halafu fanya yale ambayo yatakupendeza wewe na uache tabia ya kupangia watu kwa mambo ambayo hayakuhusu.
Naskia kuna wapuuzi huko Zanzibar wanakataza watu kula mwezi mtukufu
Hata kama watu hao hawautambui uislamu

Siku moja nitaenda huko mwezi wanaoita mtukufu alafu nitatafuta kitimoto itakaangwa vizuri na ndizi na mirinda baridi itakuwa mfukoni
Wakati huo nitakuwa nimenoa sime vizuri kabisa na kisu kidogodogo nimevificha mwilini
Saa tisa alasiri nitakuwa nakatiza mitaani nikijinoma taratibu huku nikisubiri huyo mpuuzi ajipendekeze akijiongelesha tu siyo shida, shida ni pale atakapo jaribu kunigusa
Nitamgawa vipande vitatu yeye mwenyewe hatajua kilichotokea atajikuta tu ndiyo anamalizikia



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada alitarajia hayo ya Ramadhani yaonekane kule kwenye channel za dini mfano TV Imaan na Sio Sijui Azam 1 au 2 ambazo ni rasmi Kwa watu wote. Yaani Kwa kifupi hao hao hawakuonesha matangazo ya Christmas
Sasa huko ndio kumpangia mtu na biashara yake, kama ulikuwa una shida na matangazo ya Christmas basi ungeangalia kwenye chaneli za kikristo. Mfano chaneli Ten ina vipindi vingi vya dini vya kikristo na si chaneli ya dini ila mtu hulalamiki ukiona hupendi kinachoonyeshwa unabadili chaneli na si kutafuta usawa.
 
Sehemu pekee ambayo unatakiwa kudai usawa ni TBC na sio Azam.

Alafu huo udini huwa unaonekana kwenye mali za waislam tu.
Lakini kwenye mali za wagaratia wenzio huwa hamuoni udini bali ni uweledi.
Cheneli 10 huko si mchezo kumejaa vipindi vya manabii tu ila hakuna lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…