Malinzi na jeshi lake lazima jambo kama hili walipe uzito wake! Ligi gani hii inayotoa timu 'dhaifu' ambazo zikigusa tu zinatupwa nje! Au zikijitahidi sana zinafurukuta kwa timu za nchi kama Somalia, Eritrea, Comoro etc! Lazima kutafuta mbinu ya kuifanya kuwa ligi yenye ushindani na sio ligi ya Simba, Yanga na Azam.