Hawa wajamaa wanatabia ya kuja na programme guide or programme lineup tofauti na ile inayotokana na channel wanazoonyesha. Kwa hiyo mara nyingi wanachanganya watazamaji wao kwani kinachoonyeshwa hakina uhusiano na kilicho andikwa.
didnt notice about program maana mi nikiwa mbele ya telly ni flick,flick natafuta interesting chanel to watch mpaka usingizi unipate ,ila la mvua kweli sana na masika yakiingia sijui itakuwaje!