azam Tv has a long way to go...azam tv hawana ratiba,wkt decoder nyingine ukiminya EPG unapata ratiba..
pia azam one n two ukiacha mipira ya kibongo vipindi vingine ni vya ovyo sana tu.hakuna vipindi wala makala za kibongo naona vipindi vingi ni vya kenya km pasua,sauti za dhahabu etc,na vingine vya ulaya ambavyo havina mashiko...
pia namba ktk remote ya azam tv hazifanyi kazi,sijui km ni hii yangu au zote..
bado channel zake nyingi hazina mvuto,ni km zipo kuongeza idadi tu ingawa kwa bei yake we cant complain sana..
azam tv haina channel hata moja ya radio,vile vile sijaua sababu ya kutoweka channel za dini...dunia ya leo maarifa ya dini ni muhimu kuliko chochote..bse watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Azam boreshen hayo,mtakuwa juu sn