Azam imetolewa rasmi kwenye michuano ya Klabu bingwa Africa baada ya kufungwa goli 3-0 na El Merreikh ya Sudani mjini Khartoum katika mchezo Wa marudiano hivyo Azam fc imetolewa kwa jumla ya goli 3-2 baada ya kushinda 2-0 Nyumbani
Timu za kibongo bana wapemba nao nje dah