Ayatollah Khamenei akimbilia mafichoni

3
Huna akili taifa teule haliwezi kupoteza vita hii hata siku Moja ngedere wewe
 
Anaumwa na yule alotoa hotuba ya ijumaa pale Tehran Jana alikua ninani enyi vijana
 
Ona hii ngedere kwahiyo myahudi yeye Hana watoto kweli kobazi akili hamna yaani wewe ndio uzae mwenzio azai hii Kali kwahiyo ikifika huo mwaka Israel itakua Haina vijana hii sijui akili gani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unashangaa? Wewe hapa duniani umepewa wangapi?
Sijaja duniani kufanya ngono, dini yangu inasema, nimekuja duniani kumjua na kumtumikia Mungu, kuwapenda na kuwahudumia wengine, na kujiandaa kwa maisha ya milele 😁💪
 
Sijaja duniani kufanya ngono, dini yangu inasema, nimekuja duniani kumjua na kumtumikia Mungu, kuwapenda na kuwahudumia wengine, na kujiandaa kwa maisha ya milele 😁💪
Kama hujaja kufanya ngono, wazee wako wamekuzaa wewe baada kufanya ngono. Au umetolewa kupitia puani?
 
Sasa kwanini anajificha yeye hataki mabikra72 na mito ya pomne akhera yani unajichotea tu. Mi hennesy, castle light etc
 
Sasa walitaka akae uwanjani propaganda za kimagharibi!
 
Ayatolla siyo muonga kama Isha mashauzi wa Middle East Bi Netanyahu Jana Ayatollah kaswalisha waumini hadharani tena kabla ya kuswalisha alitoa taarifa atakua sehemu flani, hizo taarifa za kujificha aliejificha ni Isha mashauzi wa Middle East Bi Netanyahu
 
Majini yameshindwa kunisaidia?
 
Wewe na wenzio wanaoleta visingizio leo. wakati jana alikua live na wameshindwa
Wacha aisee!Alijifunga kile kilemba chake kama anaogopa ubongo wake utadondoka?Kipenzi chetu awe na maisha marefu kama mkojo wa asubuhi.🙏
 
Uko wapi nije nikuue uzifuate hizo thawabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…