Ukitazama hizo muvie uwe unazielewa vzr na hata ambayo inatarajia kutoka unatakiwa kuelewa maana huwa wanaweka short info.Hii movie itakuja December 2026. Ila wameanza teasers recently.
Sasa kuniambia Steve Rogers Captain America atakuwepo wakati tulioka kwenye End Game kilichotokea mnatumix.
Nimeona Thor amekua serious sasa hivi. Taika Waititi alimuharibu akawa mchumba.
X-Men na Fantastic 4 kuingia Avengers man. MCU mnatumix jamani.
BTW nadhani ndio movie kali ya Marvel since End Game.
Naelewa concept ya Multi-universe. Iron Man Marvel bado hawajasema kaa atarudi, same as Cap ila wamesema Steve Rogers. Maybe wanaweza kua wametoka universe nyingine kweli ila huku wasijulikane kaa Cap wala Iron Man.Ukitazama hizo muvie uwe unazielewa vzr na hata ambayo inatarajia kutoka unatakiwa kuelewa maana huwa wanaweka short info.
Aliyeonekana akifanana kwa huyo jamaa(iron man) si iron man wa series nzima ya Avengers mpaka kufa kwenye end game, huyu ni character tofaut anaefanana na iron man kutoka universe nyingine, kama umeangalia na kuielewa ile latest spider man (No way Home) utaelewa hata hii Avenger mpya
Siku ikija cinema nitaifuata huko huko cinemaNaelewa concept ya Multi-universe. Iron Man Marvel bado hawajasema kaa atarudi, same as Cap ila wamesema Steve Rogers. Maybe wanaweza kua wametoka universe nyingine kweli ila huku wasijulikane kaa Cap wala Iron Man.
Steve alisema anafurahi kuretire character yake, seems kweli Captain hatokuwepo.
Teaser ya last week Steve ameshika mtoto unaona kabisa anashi normal life ila still ana suit ya Capt. America.
Tutashangazwa na mengi.
Hii movie itakuja December 2026. Ila wameanza teasers recently.
Sasa kuniambia Steve Rogers Captain America atakuwepo wakati tulioka kwenye End Game kilichotokea mnatumix.
Nimeona Thor amekua serious sasa hivi. Taika Waititi alimuharibu akawa mchumba.
X-Men na Fantastic 4 kuingia Avengers man. MCU mnatumix jamani.
BTW nadhani ndio movie kali ya Marvel since End Game.
Kweny endgame steve roger aliporudi kweny past timeline ili kuishi na peggy alisababisha incursion, i guess umeshaangalia dr strange 2 nafikiri unaelewa kuhus incursion ,so dr doom kutoka earth 828 tumeshamuona kweny fantastic 4Siku ikija cinema nitaifuata huko huko cinema
Dr doom kutoka earth 828 kama umeshaangalia fantastic four 2025Ukitazama hizo muvie uwe unazielewa vzr na hata ambayo inatarajia kutoka unatakiwa kuelewa maana huwa wanaweka short info.
Aliyeonekana akifanana kwa huyo jamaa(iron man) si iron man wa series nzima ya Avengers mpaka kufa kwenye end game, huyu ni character tofaut anaefanana na iron man kutoka universe nyingine, kama umeangalia na kuielewa ile latest spider man (No way Home) utaelewa hata hii Avenger mpya
Naelewa concept ya Multi-universe. Iron Man Marvel bado hawajasema kaa atarudi, same as Cap ila wamesema Steve Rogers. Maybe wanaweza kua wametoka universe nyingine kweli ila huku wasijulikane kaa Cap wala Iron Man.
Steve alisema anafurahi kuretire character yake, seems kweli Captain hatokuwepo.
Teaser ya last week Steve ameshika mtoto unaona kabisa anashi normal life ila still ana suit ya Capt. America.
Tutashangazwa na mengi
Wote watakuepo nahisiDeadpool na Venom wataingia MCU kituko itakua
Hata Scarlet Witch nimesikia anaweza kuwepo. Mi nachoomba wamlete Moon Knight maana series yake sidhani kama itakuwepo tuone ile personality nyingine hatukupewa story yakeWote watakuepo nahisi
Kama umeangalia dr strange 2 utakuwa unaelewa maana ya incursions sina haja ya kuelezea sana,avengers walivyo time travelling kwenye endgame walisababisha incursions na pia cap america alipoyarudisha mawe kwenye past timeline na kuamua kubaki ili aishi na peggy in past pia hii ilisababisha incursion katika multiverse ,hivy dr doom tuliemuona ktk fantastic 4 2025 post credit scene,anamua kumchukua mtoto wa susan na reed aitwaye franklin richard ambae ndie the most powerful character in mcu ,kwanza atakuja earth 616 na kuwauwa kang wote kisha kupambana na loki ambae ndiy alieshikilia multiverse nzima ,iam just thinkinHii movie itakuja December 2026. Ila wameanza teasers recently.
Sasa kuniambia Steve Rogers Captain America atakuwepo wakati tulioka kwenye End Game kilichotokea mnatumix.
Nimeona Thor amekua serious sasa hivi. Taika Waititi alimuharibu akawa mchumba.
X-Men na Fantastic 4 kuingia Avengers man. MCU mnatumix jamani.
BTW nadhani ndio movie kali ya Marvel since End Game.
Ndo naniKomando kichupi atakuwepo, kama hayupo hiyo movie siangalii
Moon knight yupo ila season 2 haipoHata Scarlet Witch nimesikia anaweza kuwepo. Mi nachoomba wamlete Moon Knight maana series yake sidhani kama itakuwepo tuone ile personality nyingine hatukupewa story yake