Masada wakuu kwa anaefaham audio player kwenye Android ambayo itakua Ina cheza miziki iliyoko kwenye play list Bila kuweka pause (fade) kutoka miziki mmoja kwenda mwingine
Yani inaiunganisha miziki yote Bila kuacha nafasi kati ya nyimbo Na nyimbo
Sent using
Jamii Forums mobile app