babilon mwanangu xn n namuelewa xn bt kwa ngoma hy 6&7 hapo umepuyangaNgoma za mbele ziliniteka kwa mda kidogo Kendrick na Jay Z new albums zime make most of my playlist. But huu mwezi bana zimetoka hits balaaa kila ngoma jiwe So far hizi ngoma haiewezi pita day bila kuzisikliza
1. Ali kiba- Sedeuce Me
2. WCB- Zilipendwa
3. Fid Q- Fresh
4. Fid Q- Ulimi Mbili
5. King Zilla- X
6. Bluu- Ananibamba
7. Chin Bees- Kababaye
Tupia ngoma zako unazozilewa so far
Yeah kweli kama hii ya Bluu na Chin Bees ni mpya kabisa but nimzielewa yan hivoMkuu kwenye playlist yako mbona kuna ngoma ambazo ndo zina siku 2 n.k nk but the way unavyozungumzia seems zimetoka mwanzoni mwa August, anyways FRESH babaaa
Package yako iko full
Nakwendaaa Zimbabwe zimbomboo iyelele mama weeeee!!! I like it so muchRoma Zimbabwe
Ni wimbo mzuri sana mkuuYeah kweli kama hii ya Bluu na Chin Bees ni mpya kabisa but nimzielewa yan hivo