August has made me Love Ngoma Zetu Za Bongo More n' More

John007

Member
Mar 31, 2017
76
71
Ngoma za mbele ziliniteka kwa mda kidogo Kendrick na Jay Z new albums zime make most of my playlist. But huu mwezi bana zimetoka hits balaaa kila ngoma jiwe So far hizi ngoma haiewezi pita day bila kuzisikliza
1. Ali kiba- Sedeuce Me
2. WCB- Zilipendwa
3. Fid Q- Fresh
4. Fid Q- Ulimi Mbili
5. King Zilla- X
6. Bluu- Ananibamba
7. Chin Bees- Kababaye
Tupia ngoma zako unazozilewa so far
 
Mkuu kwenye playlist yako mbona kuna ngoma ambazo ndo zina siku 2 n.k nk but the way unavyozungumzia seems zimetoka mwanzoni mwa August, anyways FRESH babaaa
Package yako iko full
 
babilon mwanangu xn n namuelewa xn bt kwa ngoma hy 6&7 hapo umepuyanga
 
Mkuu kwenye playlist yako mbona kuna ngoma ambazo ndo zina siku 2 n.k nk but the way unavyozungumzia seems zimetoka mwanzoni mwa August, anyways FRESH babaaa
Package yako iko full
Yeah kweli kama hii ya Bluu na Chin Bees ni mpya kabisa but nimzielewa yan hivo
 
Back
Top Bottom