Utakataa wewe tu bwana zitto.lakini wataalamu waliobobea maswala ya soka na wengi wetu tunaomfatilia huyu kiumbe kuwahi kutokea, nikiwemo na mimi BLACK P tunamkubali kinoma na tunamtambua Kuwa yeye ndio baba la soka ulimwenguni___amewapita mbali wakina maradona na pele sembuse hao wengine!!!
Bnafc ningeshauri tu hakuna haja ya kumjadiri mfalme huyu. 2napoteza muda we2 buree while wanaolijua soka zaidi ye2 wanatambua uwezo wake na wengi katika mashabiki ulimwenguni wanamkubali kisawa sawa. Kwaheri bwana ZITTO. msalimie Mh zitto kabwe_mwambie Black P anakupa Hi aise.