wengine hatukusikia weka pumba alizosema hapa !!!!mm nimemsikiliza alikuwa anaongea pumba tu.
Mama mh amenisikitisha sana yaani sijaamini akiongea anaongea akiwa serikalini
na cag nae wako serikalini jamani.......
Mh ghasia nae anasema ati hela aziwezi kuwa za umma maana tunadaiwa ....weweee mama mama wewee
ulikuwa unajua unachoongea jamani??
Hii migao ya
a.1.6bil
b.1.6 bil
c.mil 800
d.mil 40
hizi ni zaka ama sadaka mama ghasia ...leo umetujulisha huu mgao umepita kwa wengi sio mchezo