ati CAG ANA UWEZO WA KUKAGUA YOYOTE ATA WEWE UKITAKA ANAKUKAGUA- LOH -HAWA GHASIA BANA

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Mama mh amenisikitisha sana yaani sijaamini akiongea anaongea akiwa serikalini
na cag nae wako serikalini jamani.......

Mh ghasia nae anasema ati hela aziwezi kuwa za umma maana tunadaiwa ....weweee mama mama wewee
ulikuwa unajua unachoongea jamani??
Hii migao ya

a.1.6bil
b.1.6 bil
c.mil 800
d.mil 40

hizi ni zaka ama sadaka mama ghasia ...leo umetujulisha huu mgao umepita kwa wengi sio mchezo
 
Sikiliza saa mbili nanusu mkuu itv usipate shida sana
 
Mama mh amenisikitisha sana yaani sijaamini akiongea anaongea akiwa serikalini
na cag nae wako serikalini jamani.......

Mh ghasia nae anasema ati hela aziwezi kuwa za umma maana tunadaiwa ....weweee mama mama wewee
ulikuwa unajua unachoongea jamani??
Hii migao ya

a.1.6bil
b.1.6 bil
c.mil 800
d.mil 40

hizi ni zaka ama sadaka mama ghasia ...leo umetujulisha huu mgao umepita kwa wengi sio mchezo

Ghasia ndio kina mulugo tupe.
 
ni mmoja wa watu wanaosababisha wanawake kudharaulika...pathetic...
 
Huyu atakuwa kakaguliwa chini ya gagulo na CAG akampa sifa ambazo hakuna mwanamme mwingine aliyewahi kumpa, maana zile kelele si bure, aisifiae mvua imenyea.
 
Yule me namuonaga kama pazia tu hana stable functionality na alichokua akikisema ni pumba za mataputapuni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom