Mkuu
Ze Pro-Money, "Asymetrical chest", kutokuwa na usawa/ulinganifu wa kifua..huweza kusababishwa na mambo mbalimbali zikiwepo
-Magonjwa ya Kurithi.
-Magonjwa ya kuzaliwa nayo.(mf. viungo vikubwa)
-Magonjwa mengi baada ya kuzaliwa( Infections, Kansa, Matibabu-Upasuaji, mitoki, n.k)
Hata hivyo muda wa tatizo(Lilikuwepo/lilianza lini, tabia ya ukuaji wake(homa, kupungua uzito), n.k pamoja na vipimo mbalimbali huweza kusaidia kujua hasa tatizo ni nini.