alaumiwe nani sasa....Ilikuwa siku ya Jana sept 8 ambapo ilitangazwa Aslay atatumbuiza kwenye siku ambayo redio Kasibante iliyopo Bukoba inatimiza miaka 9 tangu ianzishwe, nyomi ya watu ilijitokeza kumsubiria msanii wao mwenye hit kibao mtaani, kumbe bwanamdogo ratiba yake imebana maana alikuwa na show Dodoma juzi na jana asubuhi , ikalazimika amtangulize dancer wake 'CHIBA' ili yeye akwee pipa jioni baada ya kurudi Dar, kama mnavyojua usafiri wa bongo bado hauaminiki sana, ndege ikachelewa kuondoka inasemekana shida ni hali ya hewa na huku show ilikuwa inaendelea, baada ya local artists kumaliza performance ilitakiwa Aslay apande, bahati mbaya alikuwa bado hajafika hivyo Chiba akapanda steji kuimba nyimbo za Aslay kupeleka muda, alichoambulia kurushiwa chupa na viti, na hapo ndipo ukawa mwisho wa show baada ya polisi kuja kuingilia kati...., Dogo awe makini sana na ratiba zake, bila polisi kuwa jirani badamu bangemwagika jana!
sa bwashee wanilaumu nini sasa wakati dada ako alitaka mwenyewe,il samahani sana mana sikutumia kondomu ndomana kapata mimba isiyotarajiwaWewe apoo
sa bwashee wanilaumu nini sasa wakati dada ako alitaka mwenyewe,il samahani sana mana sikutumia kondomu ndomana kapata mimba isiyotarajiwa
Aliyekwambia hivyo nani unafikiri bk iko local kiasi hicho anakubalika tu mbona.angalia usije aibishwa vibaya na wahaya humuKumbe Aslay kwa Bukoba ni "international Artist"?
Aliyekwambia hivyo nani mbona ukiishi bukoba utatoboa tu kama uamini njoo uone watu walivyo na hela huoni walivyorecover faster baada ya tetemeko na majanga mengineule mji ulivyo mgumu kimaisha, wanapata wapi 10000 ya kwenda linas
HAKUNA LOLOTE ## nisamehe kama nimekukera. ....naapa nitaongea ukweli daima ## BUKOBA HAKUNA LOLOTEAliyekwambia hivyo nani mbona ukiishi bukoba utatoboa tu kama uamini njoo uone watu walivyo na hela huoni walivyorecover faster baada ya tetemeko na majanga mengine
Achana haijui bk huyo anafikiri wahaya na watu wa bukoba ni washamba wakati bukoba INA muingiliano mkubwa watu wa aina mbalimbali kulingana na majiji kwa sababu ya kuwa mpakani sijui watakuwaje washambaMkuu wapi nimetaja neno international?
SASA HAO LOCAL ARTIST NI KINA NANMkuu wapi nimetaja neno international?
Una chuki tu kwa wahaya sio bure after all bukoba ni mji muhimu tz hasa kanda ya ziwa ndo maana IPO baada ya mwanza kwa umuhimu kanda ya ziwaHAKUNA LOLOTE ## nisamehe kama nimekukera. ....naapa nitaongea ukweli daima ## BUKOBA HAKUNA LOLOTE
Unashanga asly kuwa international artist huko bukoba ,wakati gigy money ni legendary akienda mwanzaKumbe Aslay kwa Bukoba ni "international Artist"?
Wanaotoka bukoba na mkoa wa kagera yaani wenyejiSASA HAO LOCAL ARTIST NI KINA NAN
"Baada ya local artists kumaliza permance akatakiwa apande Aslay"Mkuu wapi nimetaja neno international?
Local ni wenyeji wa mkoa huo aslay ni national artist"Baada ya local artists kumaliza permance akatakiwa apande Aslay"
Hao kina Local ni kina nani!? Kama wao ni Local Aslay unamweka kundi gani?