mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF,
Tunajua kuwa gharama za kuendesha shule binafsi ni gharama sana katika kuweka mazingira bora ya watoto kuwa na elimu bora. Tunajua utashi wa kanisa lako kufundisha nidhamu zaidi mashuleni ndio maana shule za kanisa katoloki linakimbiliwa sana. Tunachokuomba hii jamii ya watanzania ina uwezo wa kawaida sana kutokana na kipato, hala kuzingatia mazingira. atupendi kwaacha maskini washindwe kupeleka watoto kwenye elumu bora ila shule za kanisa lako linapandisha ada ovyo bila kuzingalia nyakati na mazingira. Mfano ni shule ya msingi Hope and Joy ya mbweni, imepandisha hada kutoka laki 9 mpaka 1.1m, nyingine 1.2 kwa dara la kwanza, hii inatupa shoko wazazi, kumbuka kuwa huku ni sehemu ya makazi mapya kuna waamiaji wengi, leo hii kila biashara Mgufuri kapiga pini, usijeshangaa kunabaki madawati tu, tunarudi kwa kayumba style.
Sidhani kama Kadinali ana mamlaka ya kuzisemea shule zilizo chini ya mashirika ya kikatoliki maana kuna mashirika mbalimbali yanayoendesha shule na kutoa elimu hapa nchini na kila shirika lina taratibu zake ukizingatia mazingira ya shule, elimu itolewayo, wingi wa watu wanaohitaji nafasi ya kujiunga na shule husika, gharama za uendeshaji n.k.
Suala la kupanga ada kwa hizi shule ni jukumu la serikali kwa kushirikiana kwa karibu na wamiliki wake na hata wazazi inapobidi kwa kuangalia gharama za uendeshaji wa hizo shule.
Basi shule hizi zisitumia RC mana zinaonekana kanisa katoliki linawanyonya waumini wake Ki-rwakatare style na st ...... hata hivyo bado tuneshimu elimu watohayo lakini mambo ya kupanisha kila mwaka ni kero sana, shemu hii ya Mbweni na Bunju kumekuwepo waamiaji wengi lakini mashule hakuna, sasa kuona hivyo inaonekana wahitaji wameongezeka , mwalimu mkuu kaanza kutumia nafasi hii kupandisha fedha, kabla ya hapo HOPE and JOY ilionekana mkombozi wa masikini lakini baada ya kuondoka sister akaletwa mwalimu mkuu ambaye ni mwanaume mambo yamepanda kila kitu, inasikitisha sana kuwahamisha wototo kila wanapopndisha, wazo la magufuri kuwaambia wapunguzi ni nzuri asiyependa afunge shule afugie kuku.
wapi wakati unaambiwa kuna shid huku mbweni na bunju wakazi wengi shule hakuna, wewe subiri tu fedha z kifisadi zitakapoisha utalia na kusaga meno, si mlikuwa mnaishi kwa dili, sasa malock kazipiga lockPeleka unakoweza kulipia
Wana JF,
Tunajua kuwa gharama za kuendesha shule binafsi ni gharama sana katika kuweka mazingira bora ya watoto kuwa na elimu bora. Tunajua utashi wa kanisa lako kufundisha nidhamu zaidi mashuleni ndio maana shule za kanisa katoloki linakimbiliwa sana.
Tunachokuomba hii jamii ya watanzania ina uwezo wa kawaida sana kutokana na kipato, hala kuzingatia mazingira. atupendi kwaacha maskini washindwe kupeleka watoto kwenye elumu bora ila shule za kanisa lako linapandisha ada ovyo bila kuzingalia nyakati na mazingira.
Mfano ni shule ya msingi Hope and Joy ya mbweni, imepandisha hada kutoka laki 9 mpaka 1.1m, nyingine 1.2 kwa dara la kwanza, hii inatupa shoko wazazi, kumbuka kuwa huku ni sehemu ya makazi mapya kuna waamiaji wengi, leo hii kila biashara Magufuli kapiga pini, usijeshangaa kunabaki madawati tu, tunarudi kwa kayumba style.