asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Hiyo gharama kwa kiasi gani cha ujazo wa asali
Au hata hilo dumu la lita20 bei ndio hiyo hiyo?
Tuyaache kama yalivyo
Watu huchemsha asali ili asali ijae na kupata asali nyingi kutoka uzito wa awali. Na asali inayochemshwa inaondoa ubora wa asaliMim hay mambo ya asal hebu nifafanulie kuna tofaut gan kat ya asali ya nyuki wakubwa nyuk wadog na ukisema asali mbichi kun asali ambayo sio mbichi nitoe gizan tafadhal cc asanteelimu2016
Samahan mkuu, hv utajuaje asali ambayo haijachakachuliwa?Watu huchemsha asali ili asali ijae na kupata asali nyingi kutoka uzito wa awali. Na asali inayochemshwa inaondoa ubora wa asali
Sent using Jamii Forums mobile app
1 chukua glass yenye maji dondosha asali asali ikienda chini ni pure ikichabgabyika na maji ni fakeSamahan mkuu, hv utajuaje asali ambayo haijachakachuliwa?
sent from my iPhone 8
Ahsante kwa elimu mkuu, ya nyuki wadogo unayo pia ? gharama yake ?1 chukua glass yenye maji dondosha asali asali ikienda chini ni pure ikichabgabyika na maji ni fake
2 dondosha tone la asali kwenye karatasi nyeupe ukiona asali imetoka upande wa pili au karatasi likilowana jua asali ni fake
3 chukua njiti ya kiberiti chovya kwenye asali kisha washa upande wa baruti ukiona baruti haiwaki jua asali imechanganywa na maji au ni fake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu kuanzia september nitakuwa nayo ndio kipindi cha kurina na huwa inapatikana kidogo sana. Ninayo ya nyuki wakubwa tu.Ahsante kwa elimu mkuu, ya nyuki wadogo unayo pia ? gharama yake ?
sent from my iPhone 8
Nitakuchek basi mkuu hiyo Dec , tuombeane uzima tuHapana mkuu kuanzia september nitakuwa nayo ndio kipindi cha kurina na huwa inapatikana kidogo sana. Ninayo ya nyuki wakubwa tu.
Napatikana Dar es salaam, 0654846084
Sent using Jamii Forums mobile app
September mkuu. Lita moja ya nyuki wadogo huwa inakuwa sh 35,000 nusu lita 17,000Nitakuchek basi mkuu hiyo Dec , tuombeane uzima tu
sent from my iPhone 8