Me nataka mzigo wa kutosha kwa ajili ya kupeleka nje ya nchi je una uwezo wa kutoa asali ya kutosha kila mwezi au kila week?na hiyo asali ni pure kabisaa na hujachakachukua??let me know.

Wapendwa wanajamii bawaletea kwenu asali mbichi kutoka tabora 1 Lita 12000 kwa watakao hitaji jijini dare es salaam.
Haijachakachuliwa?? Niko Tanga nitaipataje??
Me nataka mzigo wa kutosha kwa ajili ya kupeleka nje ya nchi je una uwezo wa kutoa asali ya kutosha kila mwezi au kila week?na hiyo asali ni pure kabisaa na hujachakachukua??let me know.
Weka namba yako ya SIMU tujue unapatikana wapi
Vipi kuhusu NIKOTINE! Inasemekena asali ya Tabora ina sumu hiyo kutokana na maua ya TUMBAKUKaka asali aijachakachuliwa pure kabisa ndio mzigo upo Kama upo dar nicheki tufanye biashara
Nicheki 0713 33 8342
Nicheki huwa nakua na stock ya hadi dumu 200 = 4000 Ltrs Kila msimu
20Ltrs = 170,000
Namba hiyo hapo juu
Kwa asali safi na iliyokua packed kwa viwango vya hali ya juu.
1kg 10,000
1.5 Kg = 13,000
1/2 Kg = 6,000
View attachment 135941
Kaka mwenzako anapo toa tangazo la biashara yake sio vizuri kuingilia ungeitangaza biashara yako kwenyepeji yako so mi nitangaze we uje kujichomeka sio ustarabu
Ukoo wa Lukosi unamatatizo gani?