Asali kutoka tabora kwa bei nafuu

besaro

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
53
Reaction score
40
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza asali asilia kutoka Tabora kwa bei nzuri nyuki wadogo lita 30,000 nyuki wakubwa lita 10,000 napatikana dar es salaam maeneo ya changanyikeni kwa mawasiliano hapa chini 0719076235/0769825138. mnakaribishwa sana
 
Mkuu samahani, kwa nini asali ya chuki wadogo inabei kubwa kuliko asali ya chuki wakubwa wakati ujazo ni sawa ??
 
Mkuu samahani, kwa nini asali ya chuki wadogo inabei kubwa kuliko asali ya chuki wakubwa wakati ujazo ni sawa ??
upatikanaji wake ni mgumu sana ukifanananisha na nyuki wa kubwa mkuu. ndio maana inauzwa bei kubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…