Asali asali asali

Mmmh hivi asali ni dawa tena? Inatibu nini?
Au chakula?!
 
ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu

Kitu cha wapi mkuu??..na ipi iliyochemshwa ama?..hebu funguka zaidi..au mpaka wakuPM?
 
asali toka wapi? bei gani? tuwasiliane vipi wasio jf je? uko wapi? mbichi? n yuki wadogo wakubwa?
 
Kitu cha wapi mkuu??..na ipi iliyochemshwa ama?..hebu funguka zaidi..au mpaka wakuPM?

si ya kuchemshwa, ni ya tabora mkuu na nyngne ni ya bukoba, vpmo ni kuanzia nusu lita na lita moja, bei ni elfu tano kwa elfu kumi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…