salumu isa Member Joined Mar 22, 2019 Posts 31 Reaction score 6 Apr 23, 2019 #1 Ndugu zangu Mimi natafuta kazi nipo dar es salaam Mimi nifundi chuma steel fixer 0759154798
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,909 Reaction score 13,288 Apr 23, 2019 #2 salumu isa said: Ndugu zangu Mimi natafuta kazi nipo dar es salaam Mimi nifundi chuma steel fixer 0759154798 View attachment 1078915View attachment 1078917 Click to expand... Mkuu kwani huo mradi wa ubungo umekamilika?au ilikuwaje ukaacha kazi kwa hao wachina?
salumu isa said: Ndugu zangu Mimi natafuta kazi nipo dar es salaam Mimi nifundi chuma steel fixer 0759154798 View attachment 1078915View attachment 1078917 Click to expand... Mkuu kwani huo mradi wa ubungo umekamilika?au ilikuwaje ukaacha kazi kwa hao wachina?
saadmad JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 729 Reaction score 653 Apr 23, 2019 #3 Wsalaam, mzee wa vyuma vuta subira wanakuja kukupa moyo na kukuvunja pia jiandae kisaikolojia. Kila la kheir
Wsalaam, mzee wa vyuma vuta subira wanakuja kukupa moyo na kukuvunja pia jiandae kisaikolojia. Kila la kheir
salumu isa Member Joined Mar 22, 2019 Posts 31 Reaction score 6 Apr 23, 2019 Thread starter #4 Kiukweli wachina wanazingua kimafedha wababaishaji mbu wa dengue said: Mkuu kwani huo mradi wa ubungo umekamilika?au ilikuwaje ukaacha kazi kwa hao wachina? Click to expand...
Kiukweli wachina wanazingua kimafedha wababaishaji mbu wa dengue said: Mkuu kwani huo mradi wa ubungo umekamilika?au ilikuwaje ukaacha kazi kwa hao wachina? Click to expand...
salumu isa Member Joined Mar 22, 2019 Posts 31 Reaction score 6 Apr 23, 2019 Thread starter #5 Ok saadmad said: Wsalaam, mzee wa vyuma vuta subira wanakuja kukupa moyo na kukuvunja pia jiandae kisaikolojia. Kila la kheir Click to expand...
Ok saadmad said: Wsalaam, mzee wa vyuma vuta subira wanakuja kukupa moyo na kukuvunja pia jiandae kisaikolojia. Kila la kheir Click to expand...
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,909 Reaction score 13,288 Apr 23, 2019 #6 salumu isa said: Kiukweli wachina wanazingua kimafedha wababaishaji Click to expand... Wanazingua mshahara mdogo au ni wagumu kulipa kaka?
salumu isa said: Kiukweli wachina wanazingua kimafedha wababaishaji Click to expand... Wanazingua mshahara mdogo au ni wagumu kulipa kaka?
salumu isa Member Joined Mar 22, 2019 Posts 31 Reaction score 6 Apr 23, 2019 Thread starter #7 mbu wa dengue said: Wanazingua mshahara mdogo au ni wagumu kulipa kaka? Click to expand... Kiukweli mshaara mdogo pia pesa ya makato yako ya nssf awakuwekei mpaka mvutane sana aki zako kama mfanyakazi awakupi
mbu wa dengue said: Wanazingua mshahara mdogo au ni wagumu kulipa kaka? Click to expand... Kiukweli mshaara mdogo pia pesa ya makato yako ya nssf awakuwekei mpaka mvutane sana aki zako kama mfanyakazi awakupi
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,909 Reaction score 13,288 Apr 23, 2019 #8 salumu isa said: Kiukweli mshaara mdogo pia pesa ya makato yako ya nssf awakuwekei mpaka mvutane sana aki zako kama mfanyakazi awakupi Click to expand... Dah wanaboa sana
salumu isa said: Kiukweli mshaara mdogo pia pesa ya makato yako ya nssf awakuwekei mpaka mvutane sana aki zako kama mfanyakazi awakupi Click to expand... Dah wanaboa sana
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 3,925 Reaction score 5,195 Apr 23, 2019 #9 Wa'aleykum salaam warahmatullahi wabarakaatuh!!