EAST AFRICA nchi pekee ambayo wanawezasema wamepambana na wanaendelea kupambana kujikwamua kiuongozi, demokrasia, uhuru wa maoni ni Kenya pekee.
Wengine wote ni kama wamelaaniwa tu:Uganda tabu, Tz tabu, Rwanda tabu, DRC tabu, Burundi - tabu, South Sudan tabu, etc..
Huu ni umoja wa nchi zenye ubabe wa kidictator ama, hakuna wa kumkanya mwenzake hapo.
Poleni Wakenya