BJB FC JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 2,169 Reaction score 2,487 Oct 3, 2016 #1 Habari.mwenye kufahamu kuanza kwa masomo atc kwa wanafunzi wa diploma atuhabarishe.
T thomaskitomari JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 472 Reaction score 204 Oct 3, 2016 #2 masomo mbona walishaanza mkuu? labda kama ni kwa diploma waliochaguliwa second round nadhan semester yao itakuwa tofauti
masomo mbona walishaanza mkuu? labda kama ni kwa diploma waliochaguliwa second round nadhan semester yao itakuwa tofauti
mal-sir Senior Member Joined Jan 20, 2015 Posts 136 Reaction score 12 Oct 3, 2016 #3 complexoze said: Habari.mwenye kufahamu kuanza kwa masomo atc kwa wanafunzi wa diploma atuhabarishe. Click to expand... Walishaanza mda toka August asee labda bachelor had November
complexoze said: Habari.mwenye kufahamu kuanza kwa masomo atc kwa wanafunzi wa diploma atuhabarishe. Click to expand... Walishaanza mda toka August asee labda bachelor had November
E Erick90 Senior Member Joined Jun 15, 2016 Posts 101 Reaction score 27 Oct 3, 2016 #4 Colleg hiyo inahusika na nn hasa maana ninaona jirani yang kasoma HGL nae snataka Arusha colleg
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,314 Oct 4, 2016 #5 ttttt said: Colleg hiyo inahusika na nn hasa maana ninaona jirani yang kasoma HGL nae snataka Arusha colleg Click to expand... Mshauri aende data star college pale ni mainjinia na matechnician tu
ttttt said: Colleg hiyo inahusika na nn hasa maana ninaona jirani yang kasoma HGL nae snataka Arusha colleg Click to expand... Mshauri aende data star college pale ni mainjinia na matechnician tu
J james jojo Member Joined Sep 6, 2016 Posts 52 Reaction score 11 May 25, 2017 #6 Chup kile ukiwa mzembe utapata sup za kutosha hatakama hutaki
fredymahenge Member Joined Nov 19, 2014 Posts 70 Reaction score 28 May 25, 2017 #7 Hapo ni kukaza msuri tu
Daniel Schoter Senior Member Joined Jan 12, 2017 Posts 114 Reaction score 64 May 26, 2017 #8 Karibu sana ATC mkuu, Sisi wana ATC tunasema Skills make the difference
Poluyakhtov JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 365 Reaction score 306 May 26, 2017 #9 Daniel Schoter said: Karibu sana ATC mkuu, Sisi wana ATC tunasema Skills make the difference Click to expand... Ada pamoja na michango mingine shilingi ngapi mkuu?na je,inaweza kulipwa kidogo kidogo!
Daniel Schoter said: Karibu sana ATC mkuu, Sisi wana ATC tunasema Skills make the difference Click to expand... Ada pamoja na michango mingine shilingi ngapi mkuu?na je,inaweza kulipwa kidogo kidogo!
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 29,045 Reaction score 51,607 May 26, 2017 #10 james jojo said: Chup kile ukiwa mzembe utapata sup za kutosha hatakama hutaki Click to expand... Man chuo chochote kile ukilegeza kamba lazima ule mkasi
james jojo said: Chup kile ukiwa mzembe utapata sup za kutosha hatakama hutaki Click to expand... Man chuo chochote kile ukilegeza kamba lazima ule mkasi
J james jojo Member Joined Sep 6, 2016 Posts 52 Reaction score 11 May 26, 2017 #11 Detective J said: Man chuo chochote kile ukilegeza kamba lazima ule mkasi Click to expand... Ila hapo wamezidi mzeee pale hatakama unajitahid unaweza kupewa ya kusingiziwa tuu Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Detective J said: Man chuo chochote kile ukilegeza kamba lazima ule mkasi Click to expand... Ila hapo wamezidi mzeee pale hatakama unajitahid unaweza kupewa ya kusingiziwa tuu Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app