Hongereni wa Arusha lakini muwe makini kwa sababu tamu inaweza kugeuka chungu,msherehekee vizuri kwa amani,vinginevyo yatatokea kama yale ya ale watatu! Lema amerudishia ubunge wake kwa hiyo mumpe ushirikiano katika kuijenga Arusha na sio vurugu na vurumai za mara kwa mara,hatuna muda tena hiyo ni ishara tosha kwamba ukombozi umekaribia sasa tusipoteze muda kwa mambo yasiyokuwa ya msingi!!!!!