GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,673 Reaction score 1,950 Apr 1, 2012 #21 Udhalimu una mwisho lazima udhalimu wa ccm utoweke
kweleakwelea JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 3,075 Reaction score 1,549 Apr 1, 2012 #22 kwani bado vituo vingapi?
M mashimbamang'oma Member Joined Feb 21, 2012 Posts 53 Reaction score 23 Apr 1, 2012 #23 Risasi zilianza kupigwa baada ya mzee wa mvi kuingia Na vijana kumsulubisha... baada ya vijana kumshambulia kwa mawe mlinz wake aliamua kupiga risasi juu.....
Risasi zilianza kupigwa baada ya mzee wa mvi kuingia Na vijana kumsulubisha... baada ya vijana kumshambulia kwa mawe mlinz wake aliamua kupiga risasi juu.....