Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

Jamani tumkosoe Wassira kwa sera na kauli zake lakini hili la kumfananisha na sokwe au nyani huo si ubinadamu na tunakosoa kazi ya mungu, maana tunaamini binadamu wote ni sura na mfano wa mungu!!Sisi wazungu wakituita nyani au sokwe tunakusudia hata kuwaua inakuwaje leo hii sisi kwa sisi tunaanza kufananishana na nyani,.tukosoane kwa sera lakini maumbile hapana hakuna hata mmoja wetu anaweza kutengeneza hata unywele wake mmoja tu!!
 
kufananisha sura na sokwe si sawa ni sawa nakudharau kazi ya muumba ni kama vile kumtania alibino kafanana na nguruwe wassira lbd hakupenda kuwa vile pia albino hakupenda kua vile, Akumbuke hujafa hujaumbika halima
 

Mkuu Osokoni,
Hii ndiyo njia pekee ya kumkosoa Wassira, pamoja na kwamba anafanania na huyo mnyama tajwa, lakini pia akili zake zimekuwa zikifanya kazi kama za huyo huyo mnyama. jambo ambalo linawawia vigumu watu ku determine uhalisia wake. Ni aibu na ajabu mtu msomi kama wassira anaropoka maneno ambayo hayana hata chembe ya uadilifu, hasa kwa mtu kama yeye. Ni aibu kwa mtu kama Wassira kutuhumu tuhuma ambazo hazipo. Wassira anatakiwa kuwa mtu wa mfano, lakini ameshindwa kujiheshimu na kuwa mtu wa mfano. mawazo yake hayana tofauti na mawazo ya mnyama aliyefananishwa naye!
 
Ndio mana mi nilisema waziri wa maliasili ajiuzulu kupisha uchunguzi huru
 

me and 30mil peoples likes this
 
Sarch thread, maige jiuzulu
 
kufananisha sura na sokwe si sawa ni sawa nakudharau kazi ya muumba ni kama vile kumtania alibino kafanana na nguruwe wassira lbd hakupenda kuwa vile pia albino hakupenda kua vile, Akumbuke hujafa hujaumbika halima
Kwani sura ya mheshimiwa Wasira ni ulemavu?
 
Mkuu Mungi, kwani mawazo ya huyo mnyama uliyasikia wapi mpaka uyalinganishe na mawazo ya Wasira?
 
Huyo si Salim Ahmed Salim alimtandika Mimba akakosa mume?
Kweli ccm wamekosa sera, wanaongozwa na spika muhuni muhuni kumbe wamejisahau

wanang'ang'ania kutoa kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzao kabla ya kukitoa kilichoko kwenye jicho lao
 
Kwa kampeni za Arumeru Mashariki kwa sasa. ni ngumu utangaze sera wakati mwenzio anachofanya ni kukuchafua.
Acha wajibizane kwanza ila watakaoonekana wajinga ni wale wazee waropokaji. Nadhani wote tunajua wanapatikana chama gani.

Ukishasema wazee moja kwa moja tunajua magamba kwani sidhani kama kuna chama kinachoongoza kuwa na wazee kama magamba
 



kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti

sema kavaa nature suti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…