Jimbo hili wamelitafuta kwa nguvu nyingi lakini inapokuja kuwateua wagombea naona Kama wale watuhumiwa wa rushwa kubwa na ndogo ndio waliochukua fomu na natumai ndio watakaopitishwa maana wajumbe waliopo ukumbini hata ukiwauliza wanataka kiongozi wa aina gani hawajui.....historia ya wale wamwaga fedha kupata uongozi
Nadhani tukipata CV zao mtawajua wagombea ni akina nani