Uchebe yupo kundi ganiKukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.
Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
Afadhali umenenaKukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.
Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
i got your point kwa kumuweka AncelotiKukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.
Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
Truuuuuuuuuuuu.............Kukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.
Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
Kitu PV atakuja kuwa moto, labda rangi iingilie kati.Ni ukweli usiopingika kuwa kocha msaidizi wa Manchester city mikel arteta atakuja kuwa kocha mkubwa hapo baadae kutokana na vitu vifuatavyo.
1. kuimudu kwa asilimia zote nafasi ya kumshauri Joseph pep guadiora pale anapoonekana kuishiwa na mawazo
2. ufundi na ujuzi anaoupata kutoka kwa master of tactics mzee wa tik taka Joseph pep ambaye kwa sasa anaonekana kumuachia mbinu za kutoka michel na kufikia hatua ya kumpigia chapuo kuwa akiondoka man city mrithi wake awe jamaa yake huyo ambae wanasaidizan kazi kwa sasa hapo clubuni
naomba uje na mtazamo wako kuhusu hili lakini mtazamo ukipingana na wangu patatokea kasheshe ya kubishana pia karibuni sana
Man City hachezi UEFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani sababu ya matumizi mabovu ya pesa nyingi kwa kiwango kinachostahili kwa mujibu wa FIFA.Ni ukweli usiopingika kuwa kocha msaidizi wa Manchester city mikel arteta atakuja kuwa kocha mkubwa hapo baadae kutokana na vitu vifuatavyo.
1. kuimudu kwa asilimia zote nafasi ya kumshauri Joseph pep guadiora pale anapoonekana kuishiwa na mawazo
2. ufundi na ujuzi anaoupata kutoka kwa master of tactics mzee wa tik taka Joseph pep ambaye kwa sasa anaonekana kumuachia mbinu za kutoka michel na kufikia hatua ya kumpigia chapuo kuwa akiondoka man city mrithi wake awe jamaa yake huyo ambae wanasaidizan kazi kwa sasa hapo clubuni
naomba uje na mtazamo wako kuhusu hili lakini mtazamo ukipingana na wangu patatokea kasheshe ya kubishana pia karibuni sana
Hujamuelewa mdau, hajasema Arteta ni bora na kumlinganisha na yoyote maana si kocha mkuu bali anaweza kuja kuwa kocha bora.Kukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.
Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
sasa wenger anaweza kukupa mbinu mkuu?Unamkuubuka Patrick James Rice "Pat Rice", alichezea ARSENAL 13 year (1967-80), akachezea WATFORD 1980-84, akawa Wenger's assistant coach 1996-2012! Kuna watu ni wazuri wakiwa wasaidizi tu!
Haaaaaahaaaaa acha zereu kijana!sasa wenger anaweza kukupa mbinu mkuu?